FRIDGE HISENSE H300 BTS

FRIDGE HISENSE H300 BTS

Featured
Sh 950,000

Warranty ni miaka 2 years Malipo yanafanyika baada ya kupata mzigo wako kwa mkazi wa dar es salaam Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndugu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukani kwetu kwa uminifu mkubwa zaidi Tupo kariakoo mtaa wa Ndanda na Agrey karibu na jengo la china plaza Inatumia umeme mdogo sana Inatunza ubaridi kwa mda mrefu Haimwagi maji umeme ukikatika.

Location

The Square Plaza, NJ, USA,10044